New ✨ Nzura Business OS is now live — 22 connected apps, one global AI-native platform.Nzura Business OS iko live — programu 22 zilizounganishwa, jukwaa moja la AI. Start free →Anza bure →
👔 Nzura TeamworkNzura Teamwork

Deliver Every Project On Time & On Budget —
Tasks, Time & Billing Connected
Kamilisha Kila Mradi Kwa Wakati na Ndani ya Bajeti —
Kazi, Muda na Bili Pamoja

Stop losing accountability across scattered chat groups. Organize client and internal projects on Kanban boards, track billable hours, route expense & document approvals, and turn completed milestones straight into Accounting invoices. Acha kupoteza uwajibikaji kwenye magroup mengi ya chat. Panga miradi ya wateja na ya ndani kwenye bodi za kazi, fuatilia saa za kazi, idhinisha maombi na geuza hatua zilizokamilika kuwa ankara za Uhasibu.

10-day free trialMajaribio bure siku 10 No credit card requiredHakuna kadi ya benki Web · Windows · Android · iOSWeb · Windows · Android · iOS
Nzura Teamwork · Mobile WalkthroughNzura Teamwork · Video ya Programu
Core FeaturesVipengele Vikuu

Keep Every Project On Time, On Scope & On BudgetKamilisha Kila Mradi Kwa Wakati na Ndani ya Bajeti

Kanban boards, billable timesheets, approval workflows, live project budgets, and seamless client invoicing.Bodi za Kanban, ufuatiliaji wa saa za bili, mifumo ya idhini, bajeti za miradi na ankara za wateja.

Kanban Boards, Lists & MilestonesBodi za Kazi, Orodha & Hatua

Break projects into owners, subtasks, due dates, and dependencies — switch seamlessly between Kanban, list, and timeline views.Gawanya miradi kwa wahusika, tarehe za mwisho na hatua muhimu ukiwa na mwonekano wa Kanban na orodha.

Billable Time & TimesheetsUfuatiliaji wa Muda & Saa za Bili

Log hours per task with one-click timers, distinguish billable vs non-billable time, and convert approved timesheets into client invoices.Rekodi saa za kazi kwa mbofyo mmoja na geuza saa za wateja zilizoidhinishwa kuwa ankara za moja kwa moja.

Structured Approval WorkflowsMifumo Rasmi ya Idhini

Route expense claims, purchase requests, travel budgets, and project deliverables through clear manager approvals with full audit timestamps.Pitisha maombi ya gharama, ununuzi na hatua za miradi kwa idhini wazi zenye kumbukumbu za muda.

See Teamwork in ActionOna Teamwork Kazini

Live Project Budgets & ProfitabilityBajeti & Faida ya Mradi Papo Hapo

Track labor hours, supplier bills, and expenses against project budgets in real time so margin overruns are caught early.Fuatilia gharama za kazi, bili na matumizi dhidi ya bajeti ya mradi papo hapo kuepuka hasara.

Contextual Discussions & FilesMijadala & Faili Ndani ya Kazi

Keep comments, design files, and client feedback pinned directly to each task — never hunt through email threads again.Weka maoni na faili moja kwa moja kwenye kila kazi — usitafute tena kwenye barua pepe zilizopotea.

Workload & Capacity VisibilityMwonekano wa Mzigo wa Kazi

See who is overloaded and who has capacity across departments so deadlines stay realistic and teams avoid burnout.Ona nani ana kazi nyingi na nani ana nafasi ili tarehe za kukamilisha zibaki halisi.

Desktop App & Web Cloud Programu ya Kompyuta na Wavuti

Full Power of Nzura Teamwork on Desktop & Web Nguvu Kamili ya Nzura Teamwork Kwenye Kompyuta na Wavuti

Coordinate project boards, task assignments, approvals, and team timelines effortlessly across a wide desktop screen. Ratibu bodi za miradi, ugawaji wa kazi, idhini na ratiba za timu kwa urahisi kwenye skrini kubwa ya kompyuta.

  • Windows, macOS & LinuxWindows, macOS na Linux
  • Multi-Tab & Keyboard ShortcutsVichupo Vingi na Njia za Mkato
  • Real-Time Cloud SyncUsawazishaji wa Wakati Halisi
Download Desktop App → Pakua Programu ya Kompyuta →
Mobile App ScreenshotsPicha za Programu ya Simu

Explore Every Mobile Tab & Live ScreenChunguza Kila Skrini ya Simu na Fomu Halisi

Swipe through real Teamwork mobile app screens — tap any phone preview to inspect full resolution.Vinjari skrini halisi za programu ya simu ya Teamwork — gusa picha yoyote kuiona kwa ukubwa kamili.

🚀 Available on Desktop, Mobile & WebInapatikana Kwenye Kompyuta, Simu na Web

Turn Scattered Chats Into Accountable DeliveryGeuza Mijadala Iliyotawanyika Kuwa Utekelezaji Wenye Uwajibikaji

Coordinate tasks, track billable hours, and monitor project profitability — start your 10-day free trial today.Panga kazi, fuatilia saa za kazi na faida ya mradi — anza majaribio bure siku 10 leo.