Eliminate Stockouts & Shrinkage With
Real-Time Multi-Warehouse InventoryOndoa Upungufu na Upotevu wa Bidhaa Kwa
Usimamizi wa Stoo wa Wakati Halisi
Know exactly what is in every store, warehouse, and transit truck right now. Automate stock deductions from POS and Ecommerce, trigger low-stock alerts before bestsellers run dry, and value inventory & COGS automatically in Accounting.Jua kilichopo katika kila duka na ghala sasa hivi. Punguza stoo kiotomatiki kutoka POS na Duka la Mtandaoni, pata arifa za kuagiza upya mapema na hesabu thamani ya stoo na COGS kiotomatiki kwenye Uhasibu.
See the Inventory Control HubTazama Kituo cha Udhibiti wa Stoo
Real-time stock levels, warehouse valuations, movement logs, and reorder alerts at a glance.Viwango halisi vya stoo, thamani ya maghala, harakati za bidhaa na arifa za kuagiza upya.
Total Visibility Across Every Shelf — Down to the Single UnitUwazi Kamili wa Kila Bidhaa — Hadi Kipande Kimoja
Multi-Warehouse & Branch StockStoo ya Maghala na Matawi Mengi
Track exact on-hand, reserved, and in-transit quantities across unlimited warehouses, shops, and vans with approved inter-branch transfers.Fuatilia idadi halisi katika kila ghala na duka pamoja na uhamisho wa bidhaa kati ya matawi wenye idhini.
Smart Reorder Points & AlertsArifa Mahiri za Kuagiza Upya
Set minimum stock thresholds per SKU and branch. Get alerted automatically and convert low-stock lists into Procurement POs in one click.Weka viwango vya chini kwa kila bidhaa na badilisha orodha ya upungufu kuwa maagizo ya ununuzi kwa mbofyo mmoja.
Barcodes, Batches & Expiry DatesBarcode, Batch na Tarehe za Mwisho
Track serial numbers, lot/batch codes, secondary units (cartons ↔ pieces), and expiry warnings for pharmacies, food, and electronics.Fuatilia namba za serial, batch, vipimo vya jumla/rejareja na onyo la tarehe ya mwisho ya matumizi.
Fast Stocktakes & Variance LogsKuhesabu Stoo & Tofauti
Run cycle counts or full physical audits with barcode scanners, approve write-offs or adjustments, and see shrinkage trends immediately.Fanya ukaguzi wa stoo haraka kwa skana za barcode, idhinisha marekebisho na gundua upotevu mara moja.
Automated COGS & Margin TrackingHesabu ya COGS na Faida Halisi
Landed costs, supplier bills, and weighted-average valuation flow automatically into Accounting so gross margins are always accurate.Gharama za manunuzi na usafirishaji zinaingia kwenye tathmini ya stoo ili ujue faida yako halisi muda wote.
Live Sync Across All Sales ChannelsUsawazishaji kwa Njia Zote za Mauzo
POS, Ecommerce, B2B Invoices, Procurement GRNs, and Manufacturing BOMs all read and update the exact same live stock ledger.POS, Duka la Mtandaoni, Ankara, Manunuzi na Viwanda vyote vinatumia daftari moja la stoo papo hapo.
Multi-Unit & Multi-Warehouse — Buy in Bulk, Sell by UnitVipimo Mbalimbali — Nunua kwa Jumla, Uza kwa Kipande
Receive goods in pallets, sacks, or cartons and sell by piece, kilogram, or liter — Nzura converts quantities and unit costs automatically.Pokea bidhaa kwa katoni au magunia na uza kwa kipande au kilo — Nzura inabadilisha idadi na gharama kiotomatiki.
- Primary & secondary unit conversions built inUbadilishaji wa vipimo vya jumla na rejareja
- Retail, wholesale & branch-specific pricing tiersViwango vya bei za rejareja, jumla na tawi
- Transfer orders with dispatch & receipt confirmationUhamisho wa stoo wenye uthibitisho wa kupokea
- Full item movement ledger with user timestampsKumbukumbu ya kila harakati ya bidhaa na mtumiaji
Never Run Out or Over-Order — Proactive ReplenishmentUsiishiwe Wala Kujaza Zisizouzika — Uagizaji Mahiri
Spot fast movers running low and slow-moving dead stock tying up cash — turn reorder suggestions directly into supplier Purchase Orders.Gundua bidhaa zinazoisha haraka na zile zisizotembea — geuza mapendekezo kuwa maagizo ya ununuzi moja kwa moja.
- Automated low-stock alerts per SKU and warehouseArifa za stoo ndogo kwa kila bidhaa na ghala
- One-click Purchase Order creation from reorder listTengeneza agizo la ununuzi moja kwa moja kutoka orodha
- Expiry & batch aging alerts to prevent spoilageOnyo la bidhaa zinazokaribia kuisha muda wake
- Dead-stock & turnover analytics to free working capitalUchambuzi wa mzunguko wa bidhaa kufungua mtaji
True Inventory Valuation — Synced With AccountingThamani Halisi ya Stoo — Imeunganishwa na Uhasibu
Every goods receipt, sale, return, and stock adjustment automatically posts accurate inventory asset and COGS entries to your General Ledger.Kila mapokezi ya bidhaa, mauzo na marekebisho huingiza thamani sahihi ya stoo na COGS moja kwa moja kwenye leja.
- Real-time inventory valuation by category & warehouseThamani ya stoo ya wakati halisi kwa kategoria na ghala
- Landed cost allocation (freight, customs, handling)Mgawanyo wa gharama za usafirishaji na forodha
- Audit-ready stock adjustment & disposal logsKumbukumbu kamili za marekebisho na uharibifu wa bidhaa
- Instant PDF & Excel exports for auditors and banksPakua ripoti za PDF na Excel kwa wakaguzi na benki
Take Control of Your Stock in 4 StepsDhibiti Stoo Yako kwa Hatua 4
Import Your CatalogIngiza Bidhaa Zako
Upload SKUs, opening stock, costs, and barcodes via Excel in minutes.Pakia bidhaa, stoo ya kuanzia, gharama na barcode kwa Excel.
Set Warehouses & AlertsWeka Maghala & Arifa
Add branches/stores and define minimum reorder levels per item.Ongeza matawi/maduka na weka viwango vya chini vya arifa.
Connect Sales & BuyingUnganisha Mauzo & Manunuzi
POS, Ecommerce, Invoices, and Procurement update stock live.POS, Duka la Mtandaoni, Ankara na Manunuzi vinasasisha stoo papo hapo.
Audit & Optimize MarginsKagua na Ongeza Faida
Run fast cycle counts and track true gross profit per SKU.Fanya ukaguzi wa haraka na fuatilia faida halisi ya kila bidhaa.
Connected Across Your Entire Business StackImeunganishwa na Biashara Yako Yote
Every operational movement across POS, Ecommerce, Procurement, and Manufacturing updates Inventory in real time.Kila harakati ya POS, Duka la Mtandaoni, Manunuzi na Viwanda inasasisha Stoo papo hapo.
Ready to End Stockouts
and Know Every Unit?Uko Tayari Kumaliza Upungufu
na Kujua Kila Bidhaa?
Start your 10-day free trial and get real-time multi-warehouse stock control synced to Accounting.Anza majaribio ya bure ya siku 10 na pata udhibiti wa stoo wa wakati halisi.